Sebastian Rudy (kushoto) akishangilia na Joshua Kimmich (kulia) baada ya kuifungia Ujerumani bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji, Ireland ya Kaskazini Uwanja wa Windsor Park mjini Belfast usiku wa jana. Kimmich naye alifunga bao la tatu dakika ya 86, wakati la pili lilifungwa na Sandro Wagner PICHA ZAIDI GONGA HAPA
De Bruyne injures thigh while scoring penalty
-
Napoli midfielder Kevin de Bruyne is set for a lengthy spell on the
sidelines after suffering a high-grade tear in his right thigh against
Inter Milan.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment