![]() |
Kikosin cha Tusker FC |
Na Prince Akbar
MABINGWA wa zamani Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati,
Kombe la Kagame, Tusker ya Kenya na Ports ya Djibouti zinawasili leo jioni
kukamilisha idadi ya timu 11 zinazoshiriki mashindano ya Kombe la Kagame
yanayoanza kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mechi za kesho ni APR ya Rwanda dhidi ya El Salam Wau ya
Sudan Kusini itakayoanza saa 8 kamili mchana na kufuatiwa na ya saa 10 kamili
jioni kati ya mabingwa watetezi Yanga na Atletico ya Burundi.
Timu zote kutoka nje ya mazoezi zimeshapangiwa viwanja vya
mazoezi ambapo zitavitumia kwa mujibu wa ratiba ambayo imepangwa na Shirikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Makazi ya timu hizo na viwanja vya mazoezi ni
kama ifuatavyo;
Timu:
Uwanja wa mazoezi:
Accommodation:
APR (Rwanda)
Mabibo Hostel
- Marriott Hotel (Mabibo External)
AS Vita (Congo)
University of Dar es Salaam -
Chichi Hotel (Kinondoni)
Atletico (Burundi) Mabibo Hostel - Lunch Time Hotel
(Mabibo Hostel)
Azam (Tanzania) Azam
Complex - Azam
Complex (Chamazi)
El Salam Wau (S. Sudan) Zanaki Sekondari - Rungwe Hotel (Kariakoo)
Mafunzo (Z’bar)
Kinesi - Rombo
Green View Hotel (Sinza)
Ports (Djibouti)
Kinesi - Rombo
Green View Hotel (Sinza)
Simba (Tanzania)
…………………….
– Vina Hotel (Mabibo Makutano)
Tusker (Kenya)
Zanaki Sekondari
- Rungwe Hotel (Kariakoo)
URA (Uganda)
Loyola -
Valentino Royal Hotel (Kariakoo)
Yanga (Tanzania)
………………….
– ……………………….
0 comments:
Post a Comment