• HABARI MPYA

    Wednesday, August 15, 2012

    HUYU NDIYE PASCHAL OCHIENG, KISIKI KIPYA SIMBA SC KILICHOWAHI KUKIPIGA YANGA

    Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (kushoto) akimkabidhi jezi beki mpya wa klabu hiyo, Paschal Ochieng katika ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tazama wasifu wake hapo chini.

    JINAPascal Ochieng
    KUZALIWAMei 15, 1986 (Miaka 26)
    ALIPOZALIWAKenya
    NAFASIBeki
    KLABU ALIZOCHEZEA
    KLABU YAKESimba SC
    TIMU ZA WAKUBWA
    MWAKATIMU

    2000-2001Mathare United
    2001-2002Mazarea Dina
    2003-2004World Hope FC
    2004-2005Re-Union Nairobi
    2005Young Africans S.C.
    2005-2006Brabrand IF
    2006-2008Young Africans S.C.
    2008-2009Kenya Commercial Bank FC
    2010Posta Rangers F.C.
    2012Johor FC
    National team
    Tangu 2001- Kenya anachezea timu ya taifa KenyaMechi 23(Bao 1)

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HUYU NDIYE PASCHAL OCHIENG, KISIKI KIPYA SIMBA SC KILICHOWAHI KUKIPIGA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top