• HABARI MPYA

    Thursday, May 16, 2013

    CHELSEA YATWAA EUROPA LEAGUE, BENITEZ RAHA MPAKA BASI

    Champions: Chelsea lift the Europa League after beating Benfica in the final in Amsterdam
    Mabingwa: Chelsea wakiwa na mwali wao wa Europa League Uwanja wa Amsterdam
    On the continent: Chelsea added the Europa League to their Champions League success last year
    Kutoka Ligi ya Mabingwa hadi...
    Boss: Rafa Benitez smiles as he lifts the Europa League trophy in Amsterdam
    Bosi: Rafa Benitez akitabasamu wakati akiinua taji la Europa League Uwanja wa Amsterdam
    Smiles: Frank Lampard gets his hands on the prize
    Tabasamu: Frank Lampard 
    Safe hands: Petr Cech lifts the trophy
    Mikono salama: Petr Cech 

    IMEWEKWA MEI 15, 2013 SAA 5:55 USIKU
    BAO la Branislav Ivanovic dakika ya pili ya muda wa nyongeza kati ya tatu baada ya kutimu dakika 90 za kawaida, usiku huu limeipa Cheslea Kombe la Europa League baada ya kuilaza Benfica ya Ureno mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Amsterdam Arena.
    Beki huyo wa Serbia, alipaa hewani kwenda kuufuata mpira wa kona uliopigwa na  Juan Mata na kuujaza nyavuni.
    WHAM, BAM, THANK YOU BRAN ... Ivanovic wins it for Chelsea
    Ivanovic akifunga bao la pili na la ushindi
    Mapema, The Blues walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Fernando Torres dakika ya 60 kabla ya  Oscar Cardozo kuisawazishia Benfica kwa penalti dakika ya 68.

    Katika mchezo huo, kikosi cha Chelsea kilikuwa: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Cole, Lampard, Luiz, Ramires, Mata, Oscar na Torres.
    Benfica: Artur Moraes, Almeida, Luisao, Garay, Melgarejo, Perez, Matic, Rodrigo, Gaitan, Cardozo, Salvio.

    TORRN APART ... Fernando Torres gives Chelsea the lead
    Torres akimpiga chenga kipa wa Benfica kabla ya kufunga bao la kwanza

    TORRMINATOR ... the Chelsea striker celebrates his opener
    Torres akishangilia
    Match winner: Branislav Ivanovic scored Chelsea's winner in injury time
    Match winner: Branislav Ivanovic scored Chelsea's winner in injury time
    Pati la ubingwa: Branislav Ivanovic akipongezwa na wenzake
    No way through: Chelsea's Ramires is tackled by Benfica's Lorenzo Melgarejo
    Ramires wa Chelsea akikabiliana na Lorenzo Melgarejo wa Benfica
    Three of the best: Eusebio, Michel Platini and Johan Cruyff watch on from the Amsterdam ArenA
    Magwiji watatu: Eusebio, Michel Platini na Johan Cruyff wakiangalia mechi hiyo Amsterdam Arena
    Final touches: Patrick Kluivert parades the Europa League trophy during the opening ceremony before the teams made their way out on to the pitch
    Gwiji na mwali: Patrick Kluivert akiwasilisha Kombe la Europa uwanjani
    Face full: Benfica's Rodrigo brushes Cesar Azpilicueta aside with a strong hand off
    Mbata: Rodrigo wa Benfica akimpa mbata Cesar Azpilicueta wa Chelsea
    No luck: Torres appeals for a penalty, but his shout was turned down by the referee
    Haikuwa bahati: Torres alichezewa rafu ya penalti, lakini refa akapeta
    We want Mourinho: Chelsea fans make their feelings clear as to who they want as their next manager
    Tunamtaka Mourinho: Mashabiki wa Chelsea waliwasilisha hisia zao leo juu ya kocha atakayerithi mikoba Rafa Benitez
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: CHELSEA YATWAA EUROPA LEAGUE, BENITEZ RAHA MPAKA BASI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top