![]()  | 
| Wazee wa Kijiwe; Jamhuri kulia na Matola kushoto wakiwa nje ya Uwanja wakiangalia vijana waliojitokeza kuomba kusajiliwa Simba SC wakati wanacheza kuonyesha vipaji vyao | 
![]()  | 
| Mchezaji wa kiungo aliyewahi kuchezea timu ya taifa ya vijana chini ya Jamhuhi Kihwelo, Samuel Ngassa naye amejitokeza kuomba nafasi Simba SC | 
![]()  | 
| Matola akimpa taarifa muhimu Kibadeni, anayeandika | 
![]()  | 
| Kibadeni kulia na Matola aliyeipa mgongo kamera ya BIN ZUBEIRY | 
![]()  | 
| Tabasamu mwanana; Kibadeni akifurahia kazi mpya Simba SC | 
![]()  | 
| Katibu wa Simba SC, Evodius Mtawala kulia na Meneja wa timu za vijana za Simba SC, Patrick Rweyemamu kushoto | 
![]()  | 
| Mungu nisaidie Kibadeni anione; Mmoja wa vijana waliojitokeza kujaribu bahati zao Simba SC, Adeyoum Saleh Ahmed kutoka Miembeni ya Zanzibar akisali kabla ya kuanza kwa usaili | 
![]()  | 
| Sala inaendelea | 
![]()  | 
| Anamalizia sala | 
![]()  | 
| Anafunga sala | 













.png)