![]() |
| Wachezaji wanatoka Uwanja wa Ndege na kuelekea kambini Tansoma Hotel, kuanza maandalizi ya mchezo ujao dhidi ya Ivory Coast wikiendi ijayo |
![]() |
| Mbwana Samatta |
![]() |
| Nahodha Juma Kaseja akimpa posho yake Shomary Kapombe baada ya kufika Uwanja wa Ndege Dar es Salaam. Mwingine kushoto ni Vincent Barnabas |
![]() |
| Wanapanda basi kuelekea kambini |
![]() |
| Kutoka kulia Mrisho Ngassa, Kapombe na Thomas Ulimwengu |
![]() |
| Katibu wa TFF, Angetile Osiah akizungumza na Kocha Kim Poulsen |
![]() |
| Angetile akizungumza na Mkuu wa Msafara wa Stars nchini Morocco, Crescentius John Magori na Ofisa wa TFF, Saad Kawemba katikati |
![]() |
| Ndondi hadi Dar; Erasto Nyoni akimtania kumpiga ngumi Ally Mustafa 'Barthez' anayejikinga kwa mifuko |
![]() |
| Vijana wapo Dar tayari |












.png)