![]()  | 
| Cuipoi nna Gallas | 
![]()  | 
| Patashika ile hadi kivumbi mazoezi ya Simba SC Kinesi leo | 
![]()  | 
| Mshambuliaji mpya Zahor Pazi akipasua | 
![]()  | 
| Mazoezi ya nguvu, kushoto Nahodha mpya, Nassor Masoud 'Chollo' | 
![]()  | 
| Mazoezi ya minyumbuliko | 
![]()  | 
| Tiba; Daktari mpya wa Simba SC, Yassin Gembe akimchua misuli kiungo mshambuliaji, Haruna Chanongo | 
![]()  | 
| Kocha wa Simba SC, Abdallah Kibadeni kulia akiwa na kiungo Amri Kiemba | 
![]()  | 
| Wanazungumza | 
![]()  | 
| Simba TV; Zahor Pazi akiigiza mtangazaji wa TV kwa kumuhoji mchezaji mwenzake, Haruna Shamte kulia | 
![]()  | 
| Gari Kubwa; Nahodha wa zamani wa Simba SC, Willy Martine 'Gari Kubwa' (katikati) alikuwepo mazoezini leo Kinesi | 
![]()  | 
| Gwiji; Mchezaji na kiongozi wa zamani wa Simba SC, tangu enzi za Sunderland, Hamisi Kilomoni akizungumza na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu, Said Pamba kulia Kinesi leo | 
![]()  | 
| Bosi kubwa; Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe akiwasili mazoezini | 
![]()  | 
| Anamsalimia Mzee Kilomoni | 
![]()  | 
| Anasalimiana na Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia. Katikati ni Katibu, Evodius Mtawala. | 
![]()  | 
| Asije kuwa Jama Mba mwingine huyu!; Anaangalia mazoezi kwa makini kabisa | 


















.png)