![]() |
| Mohamed Jingo wa Toto Africans kulia akitafuta mbinu za kumtoka kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima |
![]() |
| Beki Everist Maganga wa Toto Africans aliyelala chini kuondosha mpira miguu mwa mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Toto...Hamisi Kiiza amepiga kichwa mbele ya kipa wa Toto Africans, Eric Ngwengwe... |
![]() |
| Beki anayechezeshwa kama kiungo mshambuliaji Yanga, David Luhende akienda chini baada ya kuangushwa na Eric Mulilo wa Toto Africans kulia... |
![]() |
| Everist Maganga wa Toto kulia akimdhibiti Jerry Tegete wa Yanga |
![]() |
| Everist Maganga akiondoka na mpira mbele ya Haruna Niyonzima... |
![]() |
| Haruna Niyonzima akitafuta mbonu za kuwatoka wachezaji wa Toto kwenye mstari wa kuugawa Uwanja |
![]() |
| Niyonzima akinyoosha mkono juu, baada ya wachezaji wa Toto kuuchukulia mpira nje na kuendelea kucheza |
![]() |
| Kikosi cha Toto Africans ya Mwanza kilicholala 1-0 leo mbele ya Yanga |
![]() |
| Kikosi cha Yanga SC leo |
![]() |
| Haruna Niyonzima kushoto akitafuta mbinu za kumtoka Eric Kyaruzi wa Toto |
![]() |
| Mshindi wa mechi; Nizar Khalfan akijifuta jasho baada ya kuifungia timu yake bao pekee la ushindi leo |
![]() |
| Haruna Niyonzima akipambana na Eric Mulilo... |
![]() |
| Niyonzima na Mulilo... |
![]() |
| Hamisi Kiiza akimtoka Eric Kyaruzi... |
![]() |
| Nizar Khalfan anaondoka na mpira, Didier Kavumbangu anafungua kushoto.. |
![]() |
| Nizar Khalfan anafumua shuti, huku Everist Maganga akijaribu kuzuia shuti hilo |
![]() |
| Everist Maganga akiwa amemvaa Simon Msuva kuondosha mpira kwenye miguu yake |
![]() |
| Everist Maganga akiupitia mpira miguuni mwa Frank Domayo |
![]() |
| Haruna Niyonzima akimtoka Emmanuel Swita... |























.png)