• HABARI MPYA

    Saturday, April 14, 2012

    LIVERPOOL WATINGA FAINALI KOMBE LA FA

    LIVERPOOL  imetingia fainali ya Kombe la FA, baada ya kuwafunga wapinzani wao wa jadi, Everton mabao 2-1, mabao ya Luis Suarez dakika ya 62 na Andy Carroll dakika ya 87, wakati la wapinzani wao lilifungwa na  Jelavic dakika ya 24. Mchezo huo umemalizika hivi punde tu kwenye Uwanja wa Wembley. Hapa ni Carroll anaonekana akifunga bao la ushindi kwa kichwa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL WATINGA FAINALI KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top