• HABARI MPYA

    Thursday, May 17, 2012

    FERGUSON AMPA MKONO WA KWAHERI OWEN

    Michael Owen and Sir Alex Ferguson together after United's Champions League semi-final win over Schalke
    Fergi na Owen

    Sir Alex Ferguson amempa mkono wa kwaheri mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa England, Michael Owen, ambaye anaondoka Manchester United.

    Kocha huyo amemuambia namba saba wake huyo kwamba hatapewa mkataba mpya wakati wawili hao walipokuwa Belfast kwa mechi maalum ya hisani ya Harry Gregg usiku wa Jumanne, Owen akicheza kwa dakika 60, United ikishinda 4-1 kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na Wayne Rooney.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FERGUSON AMPA MKONO WA KWAHERI OWEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top