Mwakilishi wa Kampuni ya Serengeti Breweries Iringa, Philip
Ghucha (kulia) akikabidhi jenereta kwa mshindi wa promosheni ya VUMBUA HAZINA
CHINI YA KIZIBO, Raymond Denis wa Iringa aliyejishindia jenereta hiyo kupitia
bia ya Tusker Lager. Promosheni hiyo
inayoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti nchi nzima kwa wiki 16
kupitia bia ya Premium Serengeti Lager, Tusker Lager na Pilsner Lager ambapo
zaidi ya Sh. Milioni 180 zinashindaniwa.
0 comments:
Post a Comment