![]() |
| Mhariri kiongozi wa gazeti la Championi, Saleh Ally (mwenye miwani) akichana tiketi mlangoni |
![]() |
| Meneja wa Global Publisher, Abdallah Mrisho |
![]() |
| Mashabiki |
![]() |
| Mzee Gurumo mwenye fulana nyekundu, Romna Mng'ande kulia na Katundu na Asha Kigundula kushoto kabisa |
![]() |
| Saleh Ally na Hassan Daalal |
![]() |
| Biashara zinaendelea |
![]() |
| Nyomi |
![]() |
| Uhuru Suleiman na mwanawe, Samir kulia, kushoto kocha wa makipa, James Kisaka |
![]() |
| Mashabiki |
![]() |
| Isha Mashauzu kabla ya kupanda jukwaani |
![]() |
| Juma Mbizo na Asha Kigundula |
![]() |
| Paparazzi wakiendelea na kazi |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Simba, Kaburu kulia na mgeni rasmi, Mh Amos Makalla |
![]() |
| Akiimba shairi la Simba |
![]() |
| Wakali Dancers wakifanya vitu |
![]() |
| Shabiki wa Simba Magoma Moto akitoa burudani ya bure |
![]() |
| Dua kwa ajili ya Mafisango |
![]() |
| Machaku akiitoa Medali yake kwa ajili ya Mafisango |
![]() |
| Mh Makalla akimkabidhi Kaseja tuzo mbalimbali |
![]() |
| Kaseja akimlilia Mafisango |
![]() |
| Kaseja akibembelezwa wakati analia kwa ajili ya Mafisango |
![]() |
| Shampeni |
![]() |
| Juma Nyosso kushoto, Kaseja katikati, Machaku kulia na Kombe lao |
![]() |
| Meneja wa Global Publisher, Abdallah Mrisho akimkabidhi Nahodha wa Simba, Juma Kaseja Sh. Milioni 3 |
![]() |
| Wachezaji wakipata chakula |




























.png)
0 comments:
Post a Comment