• HABARI MPYA

    Thursday, May 17, 2012

    HILDA, JULIO WAFUNGUKA LEO DAR


    Hilda Reiffestrein (kulia) na Julio Batalia wakiongea na wanahabari (hawapo pichani).
    Meneja Uhusiano wa Multichoice Tanzania Ltd, Barbara Kambogi (kushoto) akiongea na wanahabari (hawapo pichani), wengine pichani ni Julio, Hilda na Furaha.
    Sehemu ya wanahabari waliohudhuria tukio hilo.
    Hilda na Julio wakiwa katika picha ya pamoja na mtangazaji wa Channel Ten, Salma Msangi (katikati).

    Washiriki waliokuwa wakiiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big Brother StarGame, Hilda Reiffestrein na Julio Batalia leo walizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Southern Sun iliyopo Posta jijini Dar es Salaam.
    Miongoni mwa mambo waliyozungumzia kwenye mkutano huo na waandishi wa habari, walieleza namna ambavyo wamejifunza tamaduni za watu mbalimbali walipokuwa mjengoni.

    (PICHA NA ERICK EVARIST/ GPL
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HILDA, JULIO WAFUNGUKA LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top