• HABARI MPYA

    Thursday, May 09, 2013

    BALOTELLI AFUNGA MABAO MAWILI AC MILAN IKIUA 4-0 NA KUKATA TIKETI YA KUCHEZA LIGI YA MABINGWA MSIMU UJAO


    MEI 9, 2013, IMEWEKWA SAA 8:53 USIKU
    MTALIANO Mario Balotelli amefunga mabao mawili usiku huu ikiwemo penalti babu kubwa, akiiwezesha AC Milan kupata nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Pescara mabao 4-0.
    Mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester City alifunga bao lake la kwanza kwa penalti kabla ya kufunga lingine katika mechi ambayo wachezaji wengine waliowahi kucheza Ligi Kuu ya England Sulley Muntari na Mathieu Flamini walifunga.
    Amekuwa na mafanikio tangu arejee Italia na Milan wamekuwa hawafungwi katika mechi ambazo anacheza Serie A, ikishinda nane na kutoa sare tatu. 
    Deadly: Mario Balotelli slots home the first of his brace from the penalty spot
    Mario Balotelli akifunga kwa mkwaju wa penalti
    Top draw: Balotelli and Robinho celebrate going ahead against bottom side Pescara
    Balotelli akishangilia na Robinho
    Premier League connection: Sulley Muntari also got his name on the scoresheet
    Waliocheza England wanatisha: Sulley Muntari akishangilia bao lake
    Up for a fight; Balotelli tussle's with Pescara's Marco Capuano in his usual combative style
    Balotelli akimtoka Marco Capuano 
    Bowing to the crowd: Milan players decide to show their appreciation to the supporters
    Wachezaji wa Milan wakishangilia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BALOTELLI AFUNGA MABAO MAWILI AC MILAN IKIUA 4-0 NA KUKATA TIKETI YA KUCHEZA LIGI YA MABINGWA MSIMU UJAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top