MKE wa rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amaan Karume, Mama Fatma Karume leo amwaapisha viongozi wapya wa Yanga, waliochaguliwa Julai 15, katika uchaguzi uliofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Walioapishwa katika zoezi hilo lililofanyika makao makuu ya klabu, makutano ya Mitaa ya Twiga na Jangwani ni Mwenyekiti Yussuf Manji, Makamu wake, Clement Sanga na wajumbe watatu, George Manyama, Aaron Nyanda na Mussa Katabaro, wakati Abdallah Bin Kleb yuko kwa majukumu ya klabu mjini Kigali, Rwanda, yeye ataapishwa baadaye.
Aliyekuwa akiwaapisha viongzi ni Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Dk Jabir Idrisa Katundu, ambaye pia Mjumbe wa Baraza la Wazee la klabu.

![]() |
| Mzee Katundu akimuapisha Manji |
![]() |
| Anamuapisha Sanga |
![]() |
| Kulia ni Mjumbe wa Baraza la Wadhamini,k Francis Kifukwe akimkabidhi rasmi kiti Manji, baada ya kuapishwa. KUshoto kabisa ni Sanga. |
![]() |
| Kamti nzima ya Utendaji ya Yanga, ikiwa na Mama Fatma Karume wa pili kushoto waliokaa |
![]() |
| Mama Karume akimuelekeza jambo Manji |
![]() |
| Mama Karume akizungumza na Manji |
![]() |
| Mama Karume akizungumza na akina mama wa Yanga |

.png)
0 comments:
Post a Comment