Tetesi za Jumatatu magazeti Ulaya

MAN CITY SASA KUMPA MSHAHARA KUFURU DAVID SILVA ASICHOMOKE
.
David Silva
David Silva yupo kwenye mazungumzo ya mkataba mpya
Manchester City ipo karibu kukubali kutoa mshahara wa pauni 200,000 kwa wiki ili mumfunga breki kiungo wake David Silva, mwenye umri wa miaka 26 asiondoke.
Kocha wa Everton, David Moyes anataka kumchukua kipa wa Celtic, Artur Boruc, mwenye umri wa miaka 32, ambaye yuko huru baada ya kuondoka Fiorentina.

OTHER GOSSIP

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, David Gill atakuwa na mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Liverpool, Ian Ayre juu ya kupunguza jazba baina ya klabu hizo kabla ya kukutana Jumapili kwenye Uwanja wa Anfield.
Nyoa wa Liverpool, Luis Suarez ametakiwa kutengeneza amani baina yake na beki wa Manchester United, Patrice Evra kufuatia ugomvi baina yao uliotokana na kashfa za kibaguzi.
Kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson anaamini kinda nyota Nick Powell, mwenyr umri wa miaka 18, atakuwa mbadala wa muda mrefu wa Paul Scholes.
Ally McCoist
Ally McCoist 
Na kocha Ferguson amesema hatawaruhusu wachezaji wake wazichukulie baadhi ya mechi, baada ya kupoteza ubingwa wa Ligi Kuu kwa tofauti ya mabao msimu uliopita.
Kocha wa Rangers, Ally McCoist amesema kwamba hana tabu licha ya timu yake kutoshinda hata mechi moja katika mechi zao za ugenini za Ligi Daraja la Tatu Scotland.
Peter Crouch amesema aliushika mpira ili kutengeneza bao lake dhidi ya Manchester City Jumamosi.
Kiungo wa Arsenal, Jack Wilshere, mwenye umri wa miaka 20, anatarajiwa kurudi mazoezini wiki hii, baada ya mwaka mzima wa kuwa nje kwa maumivu ya mguu na goti.