NYOTA Stevan Jovetic ameibuka kuwa mchezaji chaguoa la kwanza anayetakiwa na Arsenal mwishoni mwa msimu, na The Gunners wanajiandaa kuvunja rekodi yao ya dau kubwa la kusajili mchezaji kwa kumnyakua mshambuliaji huyo wa Fiorentina striker.
Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Montenegro amekuwa kwenye rada za Arsene Wenger kwa miezi 18, huku skauti wa klabu hiyo wakimfuatilia kwa karibu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23.
TAKWIMU ZA JOVETIC:
2006-2008: Partizan (Mabao 13 katika mechi 51)
2008-2013: Fiorentina (Mabao 34 katika mechi 108)
2007-2013: Montenegro (Mabao 10 katika mechi 21)
Angalia video chini kabisa
Suluhisho: Arsene Wenger anamtaka Stevan Jovetic kujiimarisha msimu ujao
Historia: Olivier Giroud (katikati) ni mmoja wa wachezaji ambao aliwapa jukumu skauti wake kumfuatilia
VIDEO: Angalia mavituz ya Jovetic...