![]() |
Mwanamuziki Lady Jaydee akiimba wimbo wake mpya wa Joto Hasira wakati wa uzinduzi wa video ya wimbo huu usiku huu kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge, Ada Estate maeneo ya Namanga, Dar es Salaam. |
![]() |
Jide akiimba wimbo huo kwa hisia |
![]() |
Mtayarishaji mkongwe wa Bongo Fleva nchini na DJ maarufu, Bonny Love kuli akiwa rafiki yake Qarim Shambe katika uzinduzi huo |
![]() |
Kimwana Johari katika uzinduzi huo |
![]() |
Jide akiimba |
![]() |
Jide akihojiwa na Waandishi wa Habari kuhusu video hiyo |
![]() |
Nyomi ndani ya Nyumbani Lounge wakati uzinduzi huo |
![]() |
Mashabiki kwa raha zao |
![]() |
Jide akitazama kwa utulivu video hiyo |
![]() |
Mwimbaji wa Machozi Band, Mayunga Nalimi akiimba katika uzinduzi huo |
![]() |
Bonny Luv akiwa na patna wake wa miaka mingi, Mboni Masimba 'Eto'o' kulia |
![]() |
Bonny Luv akiwa kijana wake wa siku nyingi, Bin Zubeiry...aliyewahi kurekodi wimbo wa Hip Hop katika studio za Mawingu siku za mwanzoni kabisa za studio hiyo....Haaa haaa |