• HABARI MPYA

    Tuesday, March 12, 2013

    AZAM FC, MABALOZI WA NCHI WAKILIPASHIA JESHI LA LIBERIA LEO GYMKHANA CLUB

    Wachezaji wa Azam FC, wakiwa mazoezini kwenye Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) mwishoni mwa wiki dhidi ya Barack Young Controller nchini Liberia. Azam inatarajiwa kuondoka kesho.

    Seif Abdallah juu kabisa aliyepiga kichwa mpira (haupo pichani), chini yake Himid Mao na kushoto John Bocco 'Adebayor' katika mazoezi ya Azam viwanja vya Gymkhana leo asubuhi

    Beki David Mwantika akimiliki mpira mbele ya kiungo Abdulhalim Humud 'Gaucho'

    Kipre Tchetche kulia akizungumza na Brian Umony kushoto

    Khamis Mcha 'Vialli' kushoto akitafuta mbinu za kumtoka Omar Mtaki kulia

    Kocha Muingereza, Stewart Hall kushoto akitoa maelekezo kwa vijana wake wakati wa mazoezi

    Hapa ni wakati wa mazoezi ya nguvu, ambayo huongozwa na Ibrahim Shikanda

    Jabir Aziz Stima akinyoosha mgongo kwa kulalia mpira

    Mchezaji mwenye mashuti makali, Abdi Kassim 'Babbi' akinyoosha viungo

    John Bocco 'Adebayor' akinyoosha viungo

    Kipre Tchetche akinyoosha viungo

    Beki Joackins Atudo akinyoosha viungo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: AZAM FC, MABALOZI WA NCHI WAKILIPASHIA JESHI LA LIBERIA LEO GYMKHANA CLUB Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top