![]() |
| Dina Ismail akimlisha keki mumewe, Bin Zubeiry katika sherehe ya miaka 35 ya kuzaliwa kwa mumewe huyo, iliyofanyika kwenye ukumbi wa City Sports Lounge, Dar es Salaam usiku wa jana. |
![]() |
| Pendo Msuya wa Channel Ten, akiwa na Prince Akbar, mtoto wa Bin Zubeiry katika sherehe hiyo |
![]() |
| William Malecela akiwa na Prince Akbar |
![]() |
| Mama na wana; Dina Ismail akiwa wanawe, Princess Asia na Prince Akbar |
![]() |
| Dina na makinda yake |
![]() |
| Baba na mwana; Bin Zubeiry akiwa na mwanawe, Prince Akbar |
![]() |
| MC Mwani kulia akiwa Lisa kutoka Uingereza ambaye anajiandaa kufungua shampeni |
![]() |
| Watu wanaserebuka |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki Sanga Festo wa Habari Mpasuko Blog |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki kijana wake ambaye yuko tayari kutembea kwa miguu, kulala na njaa lakini asisaliti, Elius Kambili |
![]() |
| Watu wanaserebuka bwana... |
![]() |
| Dina akiwa rafiki zake |
![]() |
| Mwani na Zai wakila mangoma |
![]() |
| Bin Zubeiry baada ya kumlisha keki Jennifer Ulembo |
![]() |
| Esther Raphael akiwa na Mapacha watatu wa Bin Zubeiry... |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki mtoto Nana mbele ya 'Mlinzi' wake, Paul de Hood |
![]() |
| Watu kwa raha zao kwenye pati la swahiba wao |
![]() |
| Pendo Msuya kulia na Esther Raphael... |
![]() |
| Miaka 35...Bin Zubeiry mtu mzima sasa, bado miaka mitano tu agombee urais wa nchi |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki mshkaji wa kitaa chake, Philip Mbonde |
![]() |
| Mapacha Watatu, kulia Princess Asia, kushoto Prince Akbar na katikati Precious Boniface |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki binti yake wa kwanza, Zai |
![]() |
| Baba na Mama wakikata keki |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki mama yake wa kambo, Mwani Nyangassa |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki kijan wake Suleiman Shineni |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki Pendo Msuya |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki 'laazizi' wake, Princess Asia |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki rafiki yake, Esther Raphael |
![]() |
| Bin Zubeiry akimklihsa keki Lisa wa UK |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki bosi wake, Prince Akbar |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki dada yake wa mama mbalimbali... Asha Muhaji |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki rafiki yake, Zee la Totooz |


































.png)