MSHAMBULIAJI Fernando Torres jana alizinduka na akafunga bao katika ushindi wa 3-1 kwa Chelsea dhidi ya Steaua Bucharest na kuwawezesha The Blues kutinga Robo Fainali ya Europa League.
VIKOSI...
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Terry, Luiz, Cole, Ramires, Mikel, Hazard, Mata, Oscar, Torres.
Benchi: Turnbull, Lampard, Moses, Ferreira, Cahill, Benayoun, Bertrand.
Kadi za njano: Cole, Mikel.
Wafungaji wa mabao: Mata dk33, Terry dk58, Torres dk71.
Steaua Bucharest: Tatarusanu, Rapa, Szukala, Chiriches, Latovlevici, Bourceanu, Pintilii, Popa, Chipciu, Tanase, Rusescu.
Benchi: Stanca, Gardos, Filip, Prepelita, Tatu, Iancu, Adi.
Kadi za njano: Rapa, Bourceanu.
Mfungaji wa bao: Chiriches 45.
Refa: Stephane Lannoy (France)
Mahudhurio: 28,817.
Torres akishangilia baada ya kuifungia Chelsea katika ushindi wa 3-1 jana usiku
Torres akilalamika kwa refa Stephane Lannoy baada ya kujeruhiwa katika mchezo huo na Lukasz Szukala