![]() |
Kiungo wa Yanga, Nizar Khalfan kulia akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Gideon Tepo |
![]() |
Kipa wa Ruvu Shooting, Benja Haule aliyeruka juu kupangua mpira wa kona mbele ya Nizar Khalfan |
![]() |
Hamisi Kiiza wa Yanga kulia akimtoka Michael Aidan wa Ruvu |
![]() |
Hatari kwenye lango la Ruvu; Kipa Benja Haule ameruka lakini mpira umempita, ila beki wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' akashindwa kuunganisha nyavuni |
![]() |
Nizar Khalfan wa Yanga kulia akimgeuza beki wa Ruvu Shooting Gideon Tepo |
![]() |
11 wa kwanza walioanza Yanga leo |
![]() |
Haruna Niyonzima wa Yanga akijiandaa kupiga kona |
![]() |
11 wa kwanza walioanza Ruvu Shooting leo |
![]() |
David Luhende wa Yanga akipasua katikati ya mabeki wa Ruvu Shooting |
![]() |
Kipa Benja Haule wa Ruvu, akiwa amechuchumaa kwa machungu baada ya kufungwa na Hamisi Kiiza. Benja amefanya kazi nzuri sana leo ya kuokoa |
![]() |
Watoto wa Kagame; Wachezaji wa kimataifa wa Rwanda, beki Mbuyu Twite na Haruna Niyonzima kushoto wakijadiliana jambo wakati wakiingia uwanjani tayari kumenyana na Ruvu. Wote wamecheza vizuri leo |
![]() |
Benja Haule amedaka dhidi ya Nizar Khalfan |
![]() |
Simon Msuva wa Yanga akikabiliana na mabeki wa Ruvu Shooting |
![]() |
Beki wa Ruvu, Ibrahim Shaaban akipambana na kiungo wa Yanga, Nizar Khalfan aliyeanguka chini kushoto |
![]() |
Hamisi Kiiza akipiga shuti pembeni yake beki wa Ruvu, Mangasini Mbonosi |
![]() |
Hamisi Kiiza akimtoka beki wa Ruvu |
![]() |
Simon Msuva akikabiliana na mabeki wa Ruvu |
![]() |
Hamisi Kiiza akimtoka beki wa Ruvu |
![]() |
Simon Msuva anatuliza mpira gambani pembeni ya beki wa Ruvu |