• HABARI MPYA

    Wednesday, June 12, 2013

    HII NI SIMBA SC YA WAGUMU, KAMA WEWE SHAROBARO HUIWEZI YAKHE!

    IMEWEKWA JUNI 12, 2013 SAA 6:50 MCHANA
    Beki mpya wa Simba SC, Issa Rashid 'Baba Ubaya' akiwa amepanda pikipiki maarufu kama Boda Boda, baada ya mazoezi ya leo asubuhi kwenye Uwanja wa Kinesi, Urafiki, Dar es Salaam akirejea nyumbani kupumzika kabla ya mazoezi ya jioni. 

    Safari na muziki; Baba Ubaya akielekea nyumbani baada ya mazoezi

    Wachezaji mbalimbali wa Simba wakibadilisha nguo kutoka za mazoezi hadi viwalo vya kitaa, tayari kwa safari ya kurejea nyumbani baada ya mazoezi Uwanja wa Kinesi

    Watu wanapiga pamba ile kigumu

    Mtoto wa Kino; Kiungo Joans Mkude ile kisela, akielekea nyumbani Kinondoni baada ya mazoezi 

    Hapa tunatafuta maisha; Edward Christopher akizungumza na kipa Abuu Hashim kulia wakati wakielekea nyumbani baada ya mazoezi 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: HII NI SIMBA SC YA WAGUMU, KAMA WEWE SHAROBARO HUIWEZI YAKHE! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top