IMEWEKWA JUNI 10, 2013 SAA 8:50
KLABU ya Liverpool ipo karibu kumsaini kwa Pauni Milioni 5 winga wa klabu ya Sevilla, Luis Alberto.
Mwanasoka huyo mwenye umri wa miaka 20 amekuwa akicheza kwa mkopo Barca B na alitarajiwa kubakia Sevill, lakini Liverpool imeonyesha nia ya dhati kumbeba na ikibidi kupanda dau hadi Pauni Milioni 8.
Anayetakiwa: Winga wa Sevilla, Luis Alberto ameivutia Liverpoor.


.png)