• HABARI MPYA

    Sunday, June 09, 2013

    TAIFA STARS ILIVYOPIGANA HADI KUFA KIUME MARAKECH BAADA YA KUFANYIWA 'UMAFIA'

    IMEWEKWA JUNI 9, 2013 SAA 9:10 USIKU
    Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakikimbia kuelekea katikati kuanzisha mchezo dhidi ya Morocco baada ya kupata bao katika mechi ya Kundi C kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil usiku huu kwenye Uwanja wa Marakech mjini Marakech, Morocco, Wenyeji, Simba wa Atlasi walishinda 2-1. 

    Mfungaji wa bao la Stars, Amri Kiemba kushoto akimhamasisha Khamis Mcha 'Vialli' kuepeleka mpira baada ya bao wanze haraka kusaka mabao zaidi 

    Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa Morocco

    Samatta huyooo

    Samattaaaa

    Thomas Ulimwengu akifumua shuti

    Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Morocco

    Samatta akiwatoka mabeki wa Morocco

    Samatta alifanya kazi...basi tu haikuwa bahati yake

    Samatta alikuwa tishio

    Kikosi cha Morocco kilichoifunga Stars 2-1

    Watanzania waliokuja kuiunga mkono timu hapa

    Mfungaji wa bao la Stars, Amri Kiemba akiwatoka wachezaji wa Morocco

    Kikosi cha Stars leo

    Salum Abubakar 'Sure Boy' akimiliki mpira pembeni ya kiungo wa Morocco

    Kevin Yondan akimdhibiti mshambuliaji wa Morocco

    Shomary Kapombe akimfukuza winga wa Morocco

    Mbwana Samatta alikuwa anakaba pia

    Zacharia Hans Poppe kulia

    Aggrey Morris alitolewa kwa kadi nyekundu kwa rafu iliyosababisha penalti na bao la kwanza la Morocco

    Erasto Nyoni akipambana

    Mashabiki wa Tanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: TAIFA STARS ILIVYOPIGANA HADI KUFA KIUME MARAKECH BAADA YA KUFANYIWA 'UMAFIA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top