MBEYA CITY WAENDA MOMBASA KUIWEKEA KAMBI COASTAL UNION
Wachezaji wa Mbeya City wakipanda ndege mchana wa leo Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya kuelekea Mombasa, Kenya ambako watakaa hadi Jumamosi asubuhi watakapokwenda Tanga na jioni yake kucheza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani..
0 comments:
Post a Comment