• HABARI MPYA

    Saturday, May 17, 2014

    CHELSEA YAONGOZA KUPELEKA WACHEZAJI WENGI KOMBE LA DUNIA

    KLABU ya Chelsea inatarajiwa kuwa klabu itakayopeleka wachezaji wengi zaidi kwenye Fainali za mwaka huu za Kombe la Dunia, takriban nyota 18 wa kikosi cha Jose Mourinho wako njiani kuelekea Brazil.
    Klabu hiyo ya Magharibi mwa London in a wachezaji wawili zaidi walioteuliwa katika vikosi via awali na via mwisho vya wachezaji 23 via Kombe la Dunia zaidi ya wapinzani wao, Manchester United, ambao wan a wachezaji 16.
    Wachezaji wanne wa Chelsea wameteuliwa kwenye kikosi cha Luiz Felipe Scolari, mocha wa Brazil ambao ni Oscar, Willian, Ramires na David Luiz.
    Vita nyumbani: Beki wa Brazil, David Luiz ni miongoni mea wachezaji 18 wa Chelsea wallop njiani kuelekea kwenye Kombe la Dunia
    In the frame: Fernando Torres is hoping to be chosen in Spain's final list after a disappointing season for Jose Mourinho's side
    Bado yumo: Fernando Torres ana matumaini ya kuwamo katika kikosi cha mwisho cha Hispania kitakachokwenda Brazil

    KLABU ZINAZOPELEKA NYOTA WENGI KOMBE LA DUNIA

    1. Chelsea (18)
    2. Manchester United, Bayern Munich (16)
    3. Napoli (14)
    4. Barcelona, Real Madrid, Manchester City (13) 
    5. Juventus, Arsenal, Liverpool (12)
    6. Atletico Madrid (11)
    7. Porto, Inter Milan, AC Milan, Zenit (10)
    8. Borussia Dortmund, Paris Saint-Germain (8) 
    9. Southampton, Schalke, Roma (7)
    The Blues pia in a wachezaji wawili kwenye kikosi cha England, ambao ni Frank Lampard na Gary Cahill, wawili Hispania ambao ni Fernando Torres na Cesar Azpilicueta wakati katika kikosi cha Ubelgiji kuna Eden Hazard, Romelu Lukaku na Thiabaut Courtois.
    Wachezaji wengine wa Chelsea wanaoelekea Kombe la Dunia ni Samuel Eto'o wa Cameroon, Andre Schurrle wa Ujerumani, John Obi Mikel, Victor Moses na Kenneth Omeuro wa Nigeria, Christian Atsu wa Ghana na Patrick van Aanholt wa Uholanzi.
    Manchester United imepita katika msimu mbaya daima wa Ligi Kuu England, lakini haijawazuia makocha wa timu za taiga kuchukua wachezaji huko kwa ajili ya Kombe la Dunia.
    Wayne Rooney, Javier Hernandez na Robin van Persie ni miongoni mea nyota watakaokwenda Brazil wakitokea Old Trafford, wakati nyota wawili wa Mashetani hao Wekundu Tom Cleverley na Michael Carrick wamo kwenye orodha ya wachezaji wa akiba wa kocha Roy Hodgson wa England.
    On the plane: Manchester United striker Wayne Rooney is battling to be fully fit for Brazil
    Kwenye ndege: Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney anatarajiwa kwenda Brazil
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAONGOZA KUPELEKA WACHEZAJI WENGI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top