![]() |
| Winga wa Tanzania, Taifa Stars akimtoka beki wa Malawi, Moses Chabvula kulia katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tanzania ilishinda 1-0. |
![]() |
| Winga wa Tanzania, Haroun Chanongo akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Malawi, Foster Namwera |
![]() |
| Kiungo wa Tanzania, Ramadhani Singano 'Messi' akipisha pesi pembeni ya beki wa Malawi, John Lanjesi |
![]() |
| Kiungo wa Tanzania, Khamis Mcha 'Vialli' kulia akichuana na beki wa Malawi, Limbikani Mzava |
![]() |
| Benchi la Ufundi la Malawi, kutoka kulia kocha Young Chimodzi, Wasaidizi wake, Jack Chamangwana na Philip Nyasulu |
![]() |
| Kocha wa Tanzania, Mholanzi Mart Nooij kushoto na Msaidizi wake, Salum Mayanga |
![]() |
| Mfungaji wa bao pekee jana, Amri Kiemba akikokota mpira |
| Winga wa Tanzania, Simon Msuva akimtoka kiungo wa Malawi, Young Chimodzi Jr. |
![]() |
| Kiungo wa Tanzania, Kevin Friday akimtoka beki wa Malawi, Moses Chabvula |
![]() |
| Kikosi cha Stars jana |











.png)
0 comments:
Post a Comment