![]()  | 
| Hans Poppe akizungumza na rafiki yake katika msiba huo jana | 
![]()  | 
| Balozi Abdul 'Cisco' Mtiro kushoto akizungumza na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ayoub Nyenzi kulia na Mwandishi wa gazeti la Mwanaspoti, Khatim Naheka katikati | 
![]()  | 
| Memba wa kundi la Friends Of Simba (F.O.S.), Jerry Yambi kushoto na mfanyabiashara Abdulfatah Salim kulia | 
![]()  | 
| Mtendaji Mkuu wa BIN ZUBEIRY Blog, Mahmoud Zubeiry (katikati) na Nyenzi na Mtiro kushoto | 
![]()  | 
| Hans Poppe akifarijiwa na ndugu, jamaa na marafiki | 
![]()  | 
| Kulia ni mfuasi wa kundi lililopoteza umaarufu, Yanga Family, Mashaka Ndonde na kushoto DJ mkongwe, Bonny Luv ambaye ni mmoja wa watayarishaji wa mwanzoni wa muziki wa Bongo Fleva | 









.png)
0 comments:
Post a Comment