Mwanzo > SIMBA > SIMBA SC YAMSAMEHE CHAMA BAADA YA KUOMBA MSAMAHA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA SIMBA SC YAMSAMEHE CHAMA BAADA YA KUOMBA MSAMAHA UONGOZI wa Simba SC umemsamehe kiungo wake, Clatous Chotta Chama baada ya Mzambia huyo kuomba msamaha kufuatia kusimamishwa kwa tuhuma za utovu wa Nidhamu. Friday, February 02, 2024 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment