MABAO ya  mawili ya Radamel Falcao katika dakika za saba na 34 yalikuwa mchango mkubwa katika ushindi wa Atletico Madrid wa mabao 3-0 usiku huu dhidi ya Athletic Bilbao na kutwaa ubingwa wa Europa League. Bao lingine lilifungwa na Diego dakika ya 85.
Je, wajua?
  • Licha ya kufungwa, Athletic Bilbao wamejihakikishia kucheza Europa League msimu ujao, kwani watacheza na Barcelona katika fainali ya Kombe la Mfalme, ambao tayati wamekwishajihakikishia kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao
  • Atletico Madrid itacheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Wana pointi mbili zaidi wakiwa nafasi ya nne katika msimamo wa La Liga, ambayo ni nafasi ya mwisho ya kuwawezesha kucheza michuano hiyo na wana mechi moja mkononi.

NEUP, BOOKINGS (5) & SUBSTITUTIONS (6)

Atletico Madrid

  • 13 Courtois
  • 02 Godin
  • 06 Filipe
  • 23 Miranda
  • 04 Mario Suarez
  • 11 Turan (Dominguez - 90' )
  • 14 Fernandez Gabi
  • 20 Juanfran
  • 22 Diego (Jorge Koke - 90' )
  • 07 Adrian (Eduardo Salvio - 88' )
  • 09 Falcao Booked

BENCHI

  • 25 Sergio Asenjo
  • 03 Antonio Lopez
  • 18 Dominguez
  • 12 Paulo Assuncao
  • 19 Jorge Koke
  • 08 Eduardo Salvio
  • 41 Martin

Athletic Bilbao

  • 01 Iraizoz
  • 03 Aurtenetxe (Ibai - 46' )
  • 05 Amorebieta Booked
  • 15 Iraola
  • 08 Iturraspe (Perez - 46' Booked )
  • 14 Susaeta Booked
  • 21 Herrera Ander Booked (Toquero Pinedo - 63' )
  • 24 Javi Martinez
  • 09 Llorente
  • 10 De Marcos
  • 19 Muniain

BENCHI

  • 13 Raul
  • 06 San Jose Dominguez
  • 23 Ekiza
  • 02 Toquero Pinedo
  • 11 Gabilondo
  • 17 Perez
  • 28 Ibai
Reaf: Stark
Mahudhurio: 52,347

TAKWIMU ZA MECHI

Possession60%40%94minsAtletico MadridAthletic Bilbao

Shots

1111

On target

73

Corners

38

Fouls

2212

Live Text Commentary