• HABARI MPYA

    Thursday, August 09, 2012

    MAYWEATHER ATOKA JELA YUKO FITI ILE MBAYA, KULIPWA DOLA MILIONI 200 PAMBANO NA PACQUIAO


    BONDIA ambaye hajawahi kupigwa katika ngumi za kulipwa, Floyd Mayweather ametoka jela juzi na anaonekana yuko fiti kabisa, mwenye afya njema na misuli ya nguvu baada ya kutoka ndani ya gereza la Clark County Jail, alikowekwa miezi miwili iliyopita. Bondia huyo sasa anaweza kupata ulingoni Novemba 8, mwaka huu kumaliza ubishi na mpinzani wake wa siku nyingi, Manny Pacquiao, pambano ambalo anaweza kulipwa dola za Kimarekani Milioni 200. 
    Time's up: Floyd Mayweather is guided away from a Las Vegas prison after serving his sentence
    ANARUDI MTAANI: Floyd Mayweather akitolewa gerezani na walinzi kutoka gereza hilo la Las Vegas, baada ya kumaliza kifungo chake
    Looking forward: Mayweather was greeted by friends and family following his early release
    TABASAMU LA UHURU: Mayweather akitabasamu wakati akilakiwa na marafiki na familia yake baada ya kutolewa jela
    Smiles better: Mayweather posted a picture on Twitter following his release from jail
    Hii ni picha ambayo ameiweka kwenye twitter, cheki anavyoonekana


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAYWEATHER ATOKA JELA YUKO FITI ILE MBAYA, KULIPWA DOLA MILIONI 200 PAMBANO NA PACQUIAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top