• HABARI MPYA

    Monday, August 06, 2012

    SHABIKI ALIYEMKOSAKOSA CHUPA USAIN BOLT ALA KIBANO, KUPANDISHWA KIZIMBANI


    Shabiki mmoja chapombe Ashley Gill-Webb, mwenye umri wa miaka 34, anayejulikana kama Ashley Gill, baba wa watoto wawili apandishwa kizimbani katika mahakama ya Thames Magistrates, Septemba 3, mwaka huu kwa kosa la kumtupia chupa mwanariadha Usain Bolt wakat anataka kuanza kukimbia jana, ila kwa bahati nzuri haikumfikia. Tazama tukio kamili tangu anarusha chupa hadi anatiwa mikononi na Polisi. 
    A man identified as Ashley Gill from South Milford, near Leeds, is detained by security shortly after the bottle was thrown from the crowd
    Ashley Gill kutoka South Milford, jirani na Leeds, akidhibitiwa na askari muda mfupi baada ya kurusha chupa
    The spectator appeared to struggle with Olympics staff as he was carried away on the side of the track
    Jamaa anakula kibano
    Police then arrested the man while an official returned with the bottle he is alleged to have thrown
    Amekwishatulizwa...Missile: A bottle (circled) is thrown on to the track at the Olympic Stadium as sprinters prepare to take part in the 100-metre final
    Cheki chupa ilivyomkosakosa Bolt, akijiandaa kwa mbio za mita 100 fainali Olimpiki, kwenye Uwanja wa Olimpiki
    Moments before the race got underway a man appeared to shout 'Oi, you aren't going to win' to Usain Bolt

    Dangerous: The bottle rests on the ground as the athletes propel themselves from the starting blocks

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHABIKI ALIYEMKOSAKOSA CHUPA USAIN BOLT ALA KIBANO, KUPANDISHWA KIZIMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top