Mario Balotelli amepona kabisa na amerudi kazini Manchester City na Nahodha Vincent Kompany amefurahia mno kurejea kwa Mtaliano huyo, aliyeanza mazoezi kamili na timu hiyo tayari kwa Ligi Kuu ya England.
Mario Balotelli (katikati) akifanya mazoezi na wachezaji wenzake Manchester City.
Balotelli (kulia) akipashana Jack Rodwell, wakati Sergio Aguero (chini) akiendelea kufanyia mazoezi goti lake linalouma


.png)
0 comments:
Post a Comment