• HABARI MPYA

    Friday, September 14, 2012

    KOCHA CHELSEA ATIMULIWA KAZINI


    Palmeiras imeachana na kocha wa zamani wa Chelsea, Mreno na Mbrazil, Luiz Felipe Scolari na imechukua uamuzi huo kufuatia kipigo cha juzi cha mabao 3-1 kutoka kwa Vasco da Gama, hiyo ikiwa mechi ya tisa klabu hiyo inafungwa katika mechi zao 13 zilizopita za ligi, hivyo kuwafanya washike nafasi ya pili kutoka mkiani kwa pointi zao 20 walizovuna kwenye mechi 24.

    Axed: Luiz Felipe Scolari
    Luiz Felipe Scolari
    Pamoja na Scolari, msaidizi wake pia kocha Flavio Murtosa naye ametimuliwa.
    Babu huyo wa umri wa miaka 63, Scolari, ambaye alitwaa Kombe la Dunia mwaka 2002 akiwa na Brazil, alirejea kwa mara ya pili Palmeiras mwaka 2010.

    Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2203021/Former-Chelsea-boss-Luiz-Felipe-Scolari-axed-Brazilian-Palmeiras.html#ixzz26PuT4fN5
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KOCHA CHELSEA ATIMULIWA KAZINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top