• HABARI MPYA

    Thursday, September 13, 2012

    TBF YALETA MAKOCHA KUTOKA MAREKANI KUENDELEZA KIKAPU TANZANIA

    Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Phares Magesa, kushoto akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ukumbi wa City Sports Lounge, katikati ya jiji, kuhusu ujio wa makocha kutoka Marekani kwa ajili ya mipango ya maendeleo ya mchezo huo nchini. Kulia ni Katibu wa Kamisheni ya Makocha TBF,  George Kitundu.Makocha hao ni Albert Sokaits (Kocha Mkuu) na Jacquis Sconiers, ambao watawasili nchini Septemba 21, mwaka huu na kuanza mara moja wakifundisha timu zote za taifa.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TBF YALETA MAKOCHA KUTOKA MAREKANI KUENDELEZA KIKAPU TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top