![]() |
Hatari langoni mwa Coastal |
![]() |
Suleiman Kassim 'Selembe' akimuacha chini Khamis Mcha 'Vialli' |
![]() |
Kipre Balou akiuwahi mpira mrefi dhidi ya Jerry Santo wa Coastal |
![]() |
Himid Mao wa
Azam na Mohamed Mtindi wa Coastal Union wakigombea mpira
|
![]() |
Himid Mao na Salum Abubakar wakishirikiana kumpokonya mpira mchezaji wa Coastal |
![]() |
Suleiman Kassim 'Selembe' akimtoka kiungo wa Azam, Khamis Mcha 'Vialli' |
![]() |
Juma Mpongo amedaka mbele ya mshambuliaji wa Azam, Gaudence Mwaikimba |
![]() |
Brian Umony wa Azam akiwa amemuangukia mchezaji wa Coastal |
![]() |
Hamisi
Shengo wa Coastal Union, akitafuta mbinu za kumtoka Humphrey Mieno wa Coastal
Union
|
![]() |
Hamisi
Shengo wa Coastal Union, akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Humphrey Mieno wa Azam
|
![]() |
Kikosi cha Azam leo |
![]() |
Manahodha
Jerry Santo wa Coastal Union na Himid Mao wa Azam FC kulia
|
![]() |
Kikosi cha Coastal Union leo |
![]() |
Rais wa ZFA,
Aman Ibrahim Makungu akisalimiana na beki wa Azam FC, Joackins Atudo kabla ya
mechi ya Kundi B ya Kombe la Mapinduzi kati yao na Coastal Union kwenye Uwanja
wa Amaan, Zanzibar.
|