![]() |
| Ngassa akishangilia na Haruna Moshi 'Boban kwenye benchi', huku wachezaji wengine wakimtazama kwa shauku |
![]() |
| Beki wa Simba SC, Mussa Mudde akimdhibiti mshambuliaji wa Lyon |
![]() |
| Juma Kaseja amepangua penalti ya Shamte Ally |
![]() |
| Beki wa Lyon, Job Ibrahim akikimbilia mpira dhidi ya kiungo wa Simba SC, Ramadhani Chombo 'Redondo' |
![]() |
| Job Ibrahim akijaribu kumkimbiza kiungo wa Simba SC, Amri Kiemba kulia |
![]() |
| Job akiwa amelala kuondosha mpira miguuni mwa Ngassa |
![]() |
| Haruna Chanongo akiruka kwanja la beki wa Lyon na kufanikiwa kupiga krosi iliyounganishwa nyavuni na Ngassa kuwa bao la tatu |
![]() |
| Mabeki wa Lyon wakimdhibiti kiungo wa Simba SC, Amri Kiemba |
![]() |
| Kiemba akipambana na mabeki wa Lyon |
![]() |
| Ngassa akimtoka Job Ibrahim kufunga bao la pili leo |
![]() |
| Redondo akifunga bao la kwanza |
![]() |
| Haruna Chanongo akipasua msitu wa mabeki wa Lyon |
![]() |
| Job akiwa amepitia mpira miguuni mwa Ngassa |
![]() |
| Redondo akimshukuru Ngassa kwa pasi ya bao la kwanza la Simba |
![]() |
| Mwinyi Kazimoto akichuana na kiungo wa Lyon |
![]() |
| Kikosi cha Lyon leo |
![]() |
| Kikosi cha Simba SC leo |




















.png)