Na Alex Sanga, SHINYANGA
WACHEZAJI wa zamani wa timu ya Barcelona FC ya Hispania, Sabrosa Simao na Patrick Kluivert wametemblea kituo cha Bwanjige chenye watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino).
Wachezaji hao walitemblea kituo hicho siku ya Jana na akizungumza na BIN ZUBEIRY, Mkurugenzi wa benchi la Ufundi la Stand United. alisema Wamefurah sana ujio wa wachezaji hao ambao pia walitembelea kambi ya timu ya stand united iliyopo mtaa wa Rwegasore.
Kwa Mujibu wa mkurugenzi huyo wa Stand United, Muhibu Kanu amesema pia wachezaji hao watarejea tena Shinyanga siku ya kesho kuja kutazama.
Mechi ya Stand United na polisi Morogoro.
Kanu pia amempongeza Mbunge wa Shinyanga Mjini Mheshimwa Steven Masele
ambae pia ni Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mungano.

![]() |
| Add caption |
Mechi ya Stand United na polisi Morogoro.
Kanu pia amempongeza Mbunge wa Shinyanga Mjini Mheshimwa Steven Masele
ambae pia ni Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mungano.

.png)
0 comments:
Post a Comment