• HABARI MPYA

    Saturday, April 11, 2015

    NGASSA, MSUVA NA NIYONZIMA WAPEWA TUZO YANGA SC

    Nyota wa klabu ya Yanga SC, Mrisho Ngassa akiwa ameshikilia tuzo ya Mchezaji Bora wa klabu hiyo, baada ya kukabidhiwa na kikundi cha Yanga Facebook Family asubuhi ya leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
    Yanga Facebook Family wameutambua mchango wa Ngassa Yanga SC
    Yanga Facebook Family pia wametoa tuzo kwa Haruna Niyonzima (Mchezaji Bora wa Kigeni) na Simon Msuva mfungaji bora wa klabu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NGASSA, MSUVA NA NIYONZIMA WAPEWA TUZO YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top