Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akishangilia baada ya kufunga bao lake la 20 katika Ligi Kuu ya England msimu huu katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya City yalifungwa na Aleksandar Kolarov na Fernandinho, wakati wa Villa yalifungwa na Tom Cleverley na Carlos Sanchez. Matokeo hayo yanaipandisha timu ya Manuel Pellegrini juu ya Manchester United na Arsenal nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu.
Panthers take advantage of a bad outing from Jordan Love, Packers to grab
upset win in Green Bay
-
Jordan Love's 27th birthday didn't go great up in Green Bay.
26 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment