![]()  | 
| Babu Liewig anasema nao | 
![]()  | 
| Babu anasema nao wakati wasaidizi wake wanakula kipupwe kwenye sofa | 
![]()  | 
| Hapa refa anakuja kumuambia akae | 
![]()  | 
| Hapa Julio aliinuka kumsaidia kusema nao | 
![]()  | 
| Refa anamuacha Julio asimame, anamuambia Babu akakae | 
![]()  | 
| Babu anauliza, mbona Julio humuambii akae, refa anamuambia huyu kasimama sasa hivi, we tangu maechi ianze bwana hadi sasa hivi mnaongoza 3-1 bado hujakaa tu | 
![]()  | 
| Babu kakubali yaishe anakaa | 










.png)