![]() |
Mwinyi Kazimoto wa Simba SC akigombea mpira na Khalid Aucho katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi, usiku huu kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Timu hizo zilitoka 1-1. |
![]() |
Sunzu akimtoka Shikokoti |
![]() |
Wachezaji wa Simba na Tusker wakisali kwa pamoja baada ya mechi |
![]() |
Jonas Mkude akigombea mpira wa juu na kiungo wa Tusker, Khalid Aucho |
![]() |
Kipa wa Tusker, Samuel Odhiambo akiwa hewani amedaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Haruna Moshi huku akilindwa na beki wake, Mark Odhiambo |
![]() |
Joseph Shikokoti wa Tusker akimiliki mpira mbele ya Felix Sunzu wa SImba |
![]() |
Jesse Were wa Tusker akichuana na wachezaji wa Simba SC |
![]() |
Shikokoti na Sunzu |
![]() |
Ramadhan Chombo akitoa pasi iliyounganishwa nyavuni na Haruna Moshi, ambayo ilipita katikati ya mabeki wa Tusker, |
![]() |
Haruna Moshi akiwa ameruka juu baada ya kusukumwa na Shikokoti baada ya kuunganisha nyavuni pasi ya Chombo Redondo |
![]() |
Shikokoti na Sunzu |
![]() |
Boban akiugulia maumivu baada ya kufunga, huku akisaidiwa na Sunzu. Kulia ni kipa wa Tusker, Odhiambo akiwa ameduwaa baada ya kufungwa |
![]() |
Cheki shughuli hiyo, mambo ya Boban hayo |
![]() |
Kiungo Mwinyi Kazimoto akipiga mpira pembeni ya Ismail Dunga wa Tusker |
![]() |
Shikokoti akiupitia mpira miguuni mwa Sunzu |
![]() |
Haruna Chanongo akigombea mpira na kiungo wa Tusker, Justin Monda |
![]() |
Paul Ngalema akiwatoka wachezaji wa Tusker |
![]() |
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' katikati akifuatilia mechi hiyo |
![]() |
Manahodha Shomary Kapombe wa Simba na Joseph Shikokoti wa Tusker wakiwa na marefa |