• HABARI MPYA

    Friday, March 08, 2013

    MFUPA ULIOWASHINDA FISI SIMBA SC...

    Kutoka kulia, Rage, Malkia wa Nyuki na Kaburu.

    SIMBA SC leo imetangaza Kamati Maalum ya kusimamia timu wakati huu, baadhi ya viongozi wamejiuzulu na Mwenyekiti Alhaj Ismail Aden Rage yupo India kwa matibabu. 
    Kamati hiyo itakuwa chini ya Rahma Al Kharoos, maarufu kama Malkia wa Nyuki. Wengi wanafahamu namna ambavyo Kaburu na Rage walipigana kwa muda mrefu tangu waingie madarakani, lakini wamechemsha. Je, kamati ya Malkia wa  Nyuki itaweza?
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MFUPA ULIOWASHINDA FISI SIMBA SC... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top