• HABARI MPYA

    Friday, June 14, 2013

    KISHEN ENTERPRISES WADHAMINI TUZO ZA WANASOKA BORA TANZANIA

    IMEWEKWA JUNI 14, 2013 SAA 1:45 USIKU
    Mambo bam bam; Mkurugenzi wa Kishen Enterprises Limited, Rajan Solanki akizungumza na Waandishi wa Habari mwishoni mwa wiki iliyopita (Juni 9) kwenye fukwe za Coco, Dar es Salaam wakati wa tamasha la uzinduzi wa tuzo za Wanasoka Bora Tanzania, zinazoandaliwa na Chama cha Wachezaji nchini (SUPTANZA) na kudhaminiwa na kampuni yake. Sherehe za utoaji wa tuzo hizo zitafanyika juni 22 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.


    Tamasha lilifana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KISHEN ENTERPRISES WADHAMINI TUZO ZA WANASOKA BORA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top