• HABARI MPYA

    Friday, May 16, 2014

    KIDEMU CHA NASRI CHABURUZWA KORTINI KWA MATUSI

    KOCHA Didier Deschamps amefungua kesi dhidi ya demu wa Samir Nasri aliyemtusi mwalimu huyo baada ya kutaja kikosi cha Ufaransa cha Kombe la Dunia bila kiungo huyo anayechezea Manchester City.  
    Anara Atanes aliposti kwenye Twitter- matusi haya; "F*** France and F*** Deschamps! What a s*** manager".
    Lakini ingasa baadaye aliomba radhi, Deschamps atachukua hatua za kisheria dhidi ya Atanes.
    Matatani: Anara Atanes anakabiliwa na kesi kwa kumtusi kocha wa Ufaransa, Didier Deschamps

      Kituo cha Redio cha Ufaransa, RMC mimeripoti kwamba Deschamps na Shirikisho la Soka Ufaransa (FFF) wore wamefungua kesi dhidi ya Atanes, ambaye ni mzaliwa wa England na mwimbaji wa kundi la Pop, Fanfare.
      • Blogger Comments
      • Facebook Comments

      0 comments:

      Item Reviewed: KIDEMU CHA NASRI CHABURUZWA KORTINI KWA MATUSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
      Scroll to Top