• HABARI MPYA

    Friday, May 16, 2014

    MASHUJAA YAGAWA BURE NYIMBO ZAKE ZOTE HADI MPYA, JINSI YA KUZIPATA NI...

    KATIKA kuonyesha inawajali mashabiki wake, bendi ya Mashujaa imewewakea link maalum wapenzi wake kuweza kupakua nyimbo za bendi hiyo na kusikiliza bure.
    Taarifa ya Mashujaa imesema kwamba link ya kupakua nyimbo hizo ni http://old.hulkshare.com/qgnnx6qo6ps0 lakini pia wapenzi wa mashujaa wanaweza kuomba moja kwa moja kutumiwa nyimbo kwa whatsap kupitia namba +255 653 836 026.
    Nyota wa Mashujaa Chaz Baba kushoto akiwa na Meneja wake, Martin Sospeter


    Aidha wapenzi wa Mashujaa wanaweza kupakua wimbo mwingine mpya wa bendi hiyo uitwao Usidharau Sifuri kupitia hii link ya http://old.hulkshare.com/au1f2ecrz6rk  au kuomba kwa whatasap kupitia namba ile ile.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASHUJAA YAGAWA BURE NYIMBO ZAKE ZOTE HADI MPYA, JINSI YA KUZIPATA NI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top