MABINGWA mara nne Afrika, TP Mazembe wamewasili mchana wa leo Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Simba SC kwenye tamasha la Simba Day kesho jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini.
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
13 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment