BAO pekee la mshambuliaji Mbelgiji, Romelu Lukaku dakika ya 69 limewapa mwanzo mzuri mabingwa watetezi, Chelsea baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Zenit St Petersburg katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
0 comments:
Post a Comment