Mwanzo > LIGI KUU BARA > TANZANIA PRISONS YANOGEWA SUMBAWANGA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA TANZANIA PRISONS YANOGEWA SUMBAWANGA KLABU ya Tanzania Prisons imesema itaendelea kutumia Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Sumbawanga mkoani Rukwa kama Uwanja wale we nyumbani katika mechi zake za Ligi Kuu na michuano mingine yote. Saturday, October 16, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA
0 comments:
Post a Comment